Karibu

Utangulizi
+

Karibu SportPesa, jukwaa la kuweka bet iliyo nambari moja Afrika! SportPesa yaruhusu uweze kutabiri na kuweka bet yako kwenye mechi ulizopenda. Kwa jumla, tunazo michezo za huku Kenya na za kimataifa.

Unaweza kuweka bets zako kwa njia ya SMS kupitia 29050, kwa njia ya programu ya Android ya SportPesa, kwa njia ya tovuti kwenye https://ke.sportpesa.com  au pia kwa njia ya USSD kwa kupiga *790#. Unaweza kuweka bets zako ukiwa mahali popote, kabla firimbi ya kwanza ya refarii ipigwe kwa bets za masoko ya kabla ya mechi au masoko ya mechi zinazoendelea.

Cheza kwenye Jackpot na Mega Jackpot na KSH 99. Sasa, KSH 99 ndio mwanzo mpya wa kuweza kushinda angalau KSH 10,000,000 ukicheza kwenye Jackpot.

Kujisajili kwa njia ya SMS

Mbona nijisajili na SportPesa?
+

Kujisajili yakuruhusu uweze kufungua akaunti ya SportPesa bure na bila wajibu wowote. Akaunti yako ya SportPesa itakusadia uweze kuamuru bets zako na pia maelezo mengine ya akaunti yako. Unahitaji kuweka fedha kwenye akaunti yako kabla ya kuweka bets zako.

Jisajili sasa!

Nitajisajili vipi kwa njia ya SMS?
+

Kujisajili SportPesa fuata hatua hizi tatu rahisi:

Hatua ya 1

Kujisajili kwa njia ya SMS tuma "Mchezo" kwa 29050. Utapata ujumbe wa kuthibitisha pamoja na kiungo cha tovuti kitakacho kuongoza uweze kusoma Sheria na Masharti kwenye SportPesa.

Utakapo kuwa umesoma na kuelewa Sheria na Masharti, tuma "Kubali" kwa 29050 ili uweze kumaliza kujisajili.

Hatua ya 2

Baada ya kutuma "Kubali" kwa 29050, utapata ujumbe wa kuthibitisha ukikuhakikishia username yako, ambayo ni nambari yako ya simu, pamoja na nambari ya pay bill utakayotumia.

Mfano:

  • SMS ya kwanza: KARIBU SPORTPESA. Username yako ni XXXXXXXXXX. Pata MATUKIO MUHIMU kwenye https://ke.sportpesa.com ama SMS SOKA kwa 79079.
  • SMS ya pili: Tabiri na ushinde kwa njia mbili rahisi. Weka pesa kwenye paybill 955100 au 5212121 ikiwa ni Safaricom, SMS utabiri wako (GameID#Utabiri wako#Kiasi cha bet yako) kwa 79079. Usaidizi 24/7: 0755079079 / 0709079079.

Kuweka pesa

Nitaweza vipi kuweka pesa kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Ukishamaliza kujisajili, kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua hizi tatu:

Chaguo la 1

Fika kwenye orodha ya M-pesa au Airtel Money kwenye simu yako, na uhamishe pesa ukitumia ile nambari ya paybill uliyotumiwa wakati wa kujisajili.

  • M-Pesa: 955100 au 5212121
  • Airtel Money: 955100 au SPORTPESA

Account Number inapaswa kuwa namba yako iliyosajiliwa kwa SportPesa na ndio inatuma pesa. 

Chaguo la 2

Kuweka pesa kupitia USSD ya SportPesa:

Bonyeza *790#  
Chagua CHAGUO LA 4 
Weka kiasi unachotaka kuweka, subiri menyu ya Mpesa au Airtel Money ya kuweka pin yako kisha utume.

Chaguo la 3  

Amana ya Mtandaoni

Ingia kwenye akaunti yako kwenye tovuti/app ya SportPesa  bonyeza "Amana" kisha ufuate maelezo.

Akaunti yako ya SportPesa itapata kuongezwa pesa moja kwa moja. Kisha utapokea ujumbe wa udhibitisho wa muamala huo kutoka kwa SportPesa.

Mfano: Ksh. 100 imepokelewa! Salio kwenye akaunti yako ya S-PESA ni: Ksh. 100.

Kumbuka: Hapa SportPesa, huwezi kutuma pesa kutoka nambari moja hadi nyingine. Pesa itawekwa kwenye akaunti ya SportPesa ya nambari inayotuma fedha. Kutuma pesa kwa mtu mwingine, tafadhali tumia mtoa huduma wa pesa, wa simu yako.

Tazama viungo hapa chini kupata taarifa zaidi kuhusu makato ya kuhamisha pesa kwa mitandao wa M-Pesa na Airtel Money.

Cheza kwa njia ya SMS

Nina bet vipi?
+

Sasa una nafasi ya kutabiri matokeo ya mechi yoyote iliyopo kwenye jukwaa la SportPesa. Unaweza kuchagua chaguo lako kutoka kwenye masoko mbalimbali tulizonazo kwenye michezo tofauti tulizonazo kisha utume bet yako kwa 79079.

Ninaiweka Single Bet vipi?
+

Fuata hatua hizi hapa chini kuweka single bet kwa njia ya SMS.

Hatua ya 1

SMS kwenye 79079 ile Game ID ya mchezo unayotaka kuiwekea bet, utabiri wako pamoja na kiwango cha pesa ungependa kutumia kwenye bet yako.

Mfano: 8692#2#100 - ambapo "8692" ni Game ID, "2" ni utabiri wako kumaanisha ungependa timu ya ugenini (timu iliyowekwa ya pili) ishinde, na "100" ikiwa kiwango cha pesa ungependa kutumia kwenye bet yako.

Hatua ya 2

Utapata ujumbe wa kuthibitisha kutoka kwa 79079 ikionyesha Bet ID yako, possible payout yako na salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa. Possible payout inapata kuhesabiwa kwa kuzidisha odds zako za jumla kwa kiwango ulichotumia kuweka bet yako. (Mfano: 2.36*100=KSH 236)

Mfano:Umeweka BetID 1234 kwenye Sevilla FC-Villarreal, 1. Kiasi cha bet Ksh 93.03. Ushuru Ksh 6.97. Possible payout ni Ksh 156.18. Salio lako la S-Pesa ni Ksh.1306.63.

Hatua ya 3

Umeweka bet yako na unachohitaji kufanya sasa ni kukaa pembeni na kufurahia mchezo uliowekea bet yako.

Ninaiweka Multi Bet vipi?
+

Fuata hatua hizi hapa chini kuweka multi bet kwa njia ya SMS.

Hatua ya 1

SMS kwenye 79079 zile Game IDs za michezo unayotaka kuziwekea bet, tabiri zako pamoja na kiwango cha pesa ungependa kutumia kwenye bet yako. (Fahamu ya kuwa Multi Bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo ishirini).

Mfano: 1234#2#4534#1#7180#X#1350, ambapo 1234 ndio Game ID ya kwanza, 2 ndio utabiri wake; 4534 ndio Game ID ya pili, 1 ni utabiri wake, 7180 ndio Game ID ya tatu na X ndio utabiri wake. KSH 1350 itakuwa kiwango cha pesa kwa Multi Bet hii.

Hatua ya 2

Utapata ujumbe wa kuthibitisha kutoka kwa 79079 ukionyesha Bet ID yako, possible payout yako na salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa. 

Possible payout inapata kuhesabiwa kwa kuzidisha odds zako za jumla kwa kiwango ulichotumia kuweka bet yako (Mfano: 2.36*1.22*3.12*100 = KSH 8980)  kisha kutoa asilimia 20 ya ushuru wa zuio.

Ushuru wa zuio ni 20% ya net win yako.
Net winnings ni possible win (Kiwango cha bet*odd)) kisha toa kiwango ulichotumia kuweka bet yako

Mfano:
Possible win = odds * bet amount
(2.36*1.22*3.12*100=KSH 898.31)

Net win = possible win - bet amount
(898.31-100=798.31)

Withholding tax= 20% of the net winnings
20/100*798.31 = 159.66

Possible Payout = Possible win - Withholding tax
898.31-159.66 = 738.65

Mfano wa SMS ya Uthibitisho:
Umeweka Multi betID 1234. Kiasi cha bet Ksh 93.03. Ushuru Ksh 6.97. Possible payout ni Ksh 523.15. Salio lako la S-Pesa ni Ksh 136.85

Hatua ya 3

Bet yako imefanikiwa kuwekwa, unachotakiwa kufanya ni kukaa na kufurahia mchezo!

Fahamu ya kuwa:

Kufuta bet yako, tuma neno "Futa" ikifuatwa na "#" na Bet ID, ambayo ni zile tarakimu nne utakazopata kwenye ujumbe wa kuthibitisha, kwa 79079. Fahamu ya kuwa waweza futa bet kabla dakika kumi zipite baada ya kuiweka na kabla mchezo wowote wa bet yako kuanza.

Mfano: Futa#2345 (ambapo 2345 ni ile Bet ID yako)

Ninaiweka Mega Jackpot Pro bet vipi?
+

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bonyeza kwenye bango la Mega Jackpot lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Ili kuweka bet ya Mega Jackpot, bonyeza kwenye timu unayotabiri ishinde. Bonyeza kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya michezo kuwa draw, bonyeza kwenye timu ya katikati ili uchague X (DRAW).

Chagua utabiri wako wa michezo yote 17 ya Mega Jackpot Pro.

Bet slip itatokea ikiwa na utabiri wako.

Kwenye bet slip, utaweza pia kuona idadi ya mchanganyiko uliofanyika. Ikiwa hujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

Hatua ya 3

Bonyeza kwenye weka bet.

Hatua ya 4

Bonyeza 'Sawa' ili kuhakikisha au 'Futa' kukataa.

Ujumbe utatokea kwenye skrini yako kuthibitisha uwekaji wa bet yako ya Mega Jackpot Pro.

Fahamu ya kuwa: Utashinda iwapo tabiri zako zote 17 zitalingana na matokeo ya michezo. Mega Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

Nitawezaje kuweka bet ya Mega Jackpot Pro yenye bashiri unganifu?
+

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bonyeza kwenye bango la Mega Jackpot Pro lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Bashiri unganifu (Double Combination) kwenye Mega Jackpot Pro bet inarahisisha kuweka Mega Jackpot bets kadhaa mara moja badala ya kurudia mpangilio ule ule mara nyingi, ikiwa ungependa kuweka Mega Jackpot bet zaidi ya moja kupitia njia ya SMS.

Hii inakuruhusu kuweka bet ikiwa na tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, hadi mechi 7 kutoka kwa zile mechi 17 zilizochaguliwa hapo mwanzoni, kwenye bet moja! Bonyeza kwenye zile tabiri mbili ulizotaka kuweka. Mfano, (1 na 2, au 1 na X, au 2 na X).

Kwa mfano, ukipenda kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 za MJP, utakuwa umeweka MJP bets 8 kwa jumla. i.e 2^3 (2*2*2=8 JP bets).

Bet slip itajitokeza ikiwa na tabiri zako zote za michezo hizo 17 za Mega Jackpot Pro.

Kwenye bet slip, utaweza pia kuona idadi ya mchanganyiko uliofanya. Unaweza kuweka bashiri unganifu hadi mechi saba pekee.

Utaweza pia kuona kiasi cha jumla unachohitaji kuwekea kwa mchanganyiko wa idadi uliofanya. Kila MJP bet itagharimu KSHs. 99.

Ninaweka vipi Jackpot Bet?
+

Hatua ya 1

Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki.

Tuzo ya fedha kwenye Jackpot inapata kuanzia Ksh. 10,000,000 na inapanda wiki kwa wiki ikiwa hakuna mshindi wa Jackpot.

Kuweka bet kwenye Jackpot, SMS kwa 79079 "JP" ikifuatwa na "#" kisha tabiri zako 13 za zile michezo zilizo chaguliwa mwanzoni.

Mfano: JP#12121XX1212X1

Fahamu ya kuwa: Sio lazima kuweka kiwango cha pesa cha kutumia kwenye Jackpot bet yako kwani itabaki kuwa KSH 99.

Hatua ya 2

Utapata ujumbe wa kuthibitisha kutoka 79079 ikionyesha Jackpot Bet ID yako, tabiri zako zote 13 ulizochagua, kiwango cha pesa ulichotumia pamoja na salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa.

Fahamu ya kuwa: Utapata kushinda ikiwa tabiri zako zote 13 zitapata kuwa sahihi.

Jackpot inapata kugawanywa sawa sawa kati ya washindi wote.

Bonasi zinatuzwa kwa tabiri sahihi kuanzia 10,11 hadi 12.

Unaweza kuweka bets nyingi jinsi utakavyo kwenye Jackpot, kila bet itagharimu KSH 99.

Hatua ya 3

Bashiri unganifu (Double Combination) kwenye Jackpot bet inarahisisha kuweka bets kadhaa mara moja badala ya kurudia mpangilio ule ule mara nyingi, ikiwa ungependa kuweka Jackpot bet zaidi ya moja kupitia njia ya SMS.

Hii inakuruhusu kuweka bet ikiwa na tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, hadi mechi 7 kutoka kwa zile mechi 13 zilizochaguliwa hapo mwanzoni, kwenye bet moja!

Kwa mfano, ukipenda kuweka tabiri 2 kwenye mechi 3 za JP, utakuwa umeweka JP bets 8 kwa jumla. i.e 2^3 (2*2*2=8 JP bets).

Mfano: JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1

Kwenye mfano huu, zile tabiri 2 zipo kwenye mechi ya kwanza, ya nne na ya kumi na mbili.

Bet hii ni sawa na hizi JP bets 8:

JP#1X212XXXX1121

JP#1X222XXXX1121

JP#1X222XXXX11X1

JP#1X212XXXX11X1

JP#XX212XXXX1121

JP#XX222XXXX1121

JP#XX212XXXX11X1

JP#XX222XXXX11X1

Nitafuta bet yoyote vipi?
+

Kufuta bet yako, tuma neno "Futa" ikifuatwa na "#" na Bet ID, (ambayo ulipokea kwenye ujumbe wa kuthibitisha Jackpot bet yako), kwa 79079.
Mfano: Futa#JCUBH1Z (ambapo JCUBH1Z ni ile Bet ID yako)

Fahamu ya kuwa:
-Unaweza kufuta bet kabla dakika kumi zipite baada ya kuiweka na kabla mechi yoyote kwenye bet yako ipate kuanza.
-Unaweza kufuta hadi bets tatu (3) kwa siku.
-Unaweza kufuta Single bet(s) na/au Multi bet(s) kupitia SMS, Tovuti, USSD, SP App ya Android au ya iOS. 
-Hata hivyo, unaweza tu kufuta bets za Jackpot na/au Mega Jackpot kupitia SMS au USSD.

Kutoa pesa kwa njia ya SMS

Nitatoa vipi pesa kutoka kwa akaunti yangu ya SportPesa?
+

Kutoa pesa ni rahisi kama kuweka pesa ndani ya akaunti yako.

SMS kwa 79079; W#1200 ambapo W inasimamia Withdrawal (Kutoa) 1200 ndio kiwango cha pesa ungetaka kutoa na 8888 ni SportPesa PIN yako uliyopata wakati wa kujisajili.

Fahamu ya kwamba, muundo huu wa kutoa pesa ni sawa kwa watoa huduma wote wa simu. Yaani, M-pesa.

Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 79079 na akaunti yako ya simu (M-Pesa) itaingizwa pesa kisha utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.

Akaunti yangu kwa njia ya SMS

Nitawezaje kuangalia salio langu?
+

Tuma neno "SALIO" kwa 79079 kuona kiasi cha pesa kilichosalia kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.

Mfano: Salio lako la S-PESA ni KSH 100/=

Fahamu ya kuwa ikiwa unayo pesa iliyosalia baada ya kutoa, salio la akaunti lako la SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.

Kujisajili kwa njia ya tovuti

Mbona nijisajili na SportPesa?
+

Kujisajili yakuruhusu uweze kufungua akaunti ya SportPesa bure na bila wajibu wowote. Akaunti yako ya SportPesa itakusadia uweze kuamuru bets zako na pia maelezo mengine ya akaunti yako. Unahitaji kuweka fedha kwenye akaunti yako kabla ya kuweka bets zako.

Jisajili sasa!

Ninajisajili vipi SportPesa?
+

Kujisajili kwa njia ya tovuti, fuata hatua hizi rahisi:

Hatua ya 1

Tafadhali tembelea https://ke.sportpesa.com na ubonyeze "Jisajili Sasa!" Kiungo kipo kwenye kona ya upande wa kulia wa juu kwenye tovuti.

Tafadhali soma Sheria na Masharti na ujaze maeneo yote kisha ubonyeze "Pata namba ya usajili" au vinginevyo "Je, una namba tayari?" ikiwa ushapokea NAMBA YA USAJILI.

Hatua ya 2

Jaza nambari yako ya simu na ile namba ya usajili uliyotumiwa kwa njia ya SMS kisha bonyeza "Kamilisha".

Hatua ya 3

Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao onyesha usajili wako umekamilika.

Furahia mchezo!

Bet kwa njia ya tovuti

Nitaweza vipi kuweka bet?
+

Sasa una njia ya kutabiri matokeo ya mechi yoyote iliyopo kwenye tovuti ya SportPesa.

Unaweza kuchagua chaguo lolote la kuweka bet, kutoka kwenye eneo kubwa la soko la kabla ya mechi na soko la mechi zinazoendelea, zilizopo kwenye michezo mbalimbali na kuweka bet yako.

Fahamu ya kuwa, chaguzi zote za bet zinaonyeshwa na zinaelezwa kwenye ukurasa na masoko yake. Ili kuona chaguzi zilizopo kama vile +24,+14,+13,+12,+8....kwenye mchezo wowote, bonyeza kwenye icon > ili uzione. Unaweza pia kubonyeza kwenye ishara (?) kwa habari kuhusu kuweka bet kwenye kila soko na jinsi ya kuziwekea kupitia SMS.

Tafadhali kumbuka unaweza kuweka bet kufikia kiwango cha juu cha michezo 20. Unaweza kuweka single bet au multi bet.

Single bet inawekwa kwa kutabiri kwenye mechi moja pekee. Multi bet inawekwa kwa kutabiri kwenye mechi 2 au zaidi.

Ninaiweka vipi Single Bet?
+

Sasa umejisajili na akaunti yako imetengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kwenye akaunti yako, kabla ya kuweka bet yako.

Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kutumia, unachohitaji kufanya ni kubonyeza kwenye mchezo unaokuvutia, yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tenisi, Kriketi, Raga, Mchezo wa Ndondi, Mpira wa Mikono na kadhalika, ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.

Ili kuweka single bet, bonyeza kwenye timu unayotabiri kushinda. Bonyeza kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya michezo kuwa draw, bonyeza kwenye timu ya katikati ili uchague X (DRAW).

Kama ungependa kutabiri kwenye masoko ya ziada, bonyeza kwenye chaguo la masoko zaidi, ambalo huonyeshwa kama > (+24, +16, +12, +2, +8 na kadhalika); kando ya mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kuweka bet zilizopo.

Baada ya kuchagua utabiri wako, bet slip itajitokeza kukuonyesha utabiri uliochagua, odds za utabiri wako, kiasi cha kuweka bet, ushuru wa bidhaa, possible payout na pia ushuru wa zuio

Fahamu ya kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye bet slip ili kudhibitisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Ikiwa unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza "ONDOA ZOTE".

Ujumbe wa kukuomba ku "THIBITISHA BET YAKO" utaonekana. Unaweza ku "FUTA" na kurudi nyuma kwenye bet slip yako, au kubonyeza "SAWA".

Baada ya kubonyeza "SAWA" ujumbe wa uthibitisho utatokea ukikuonyesha:

  • Utabiri wako
  • Aina ya bet uliyoweka- Single bet
  • Bet ID yako
  • Kiasi ulichotumia kuweka bet yako
  • Ushuru wa bidhaa
  • Possible payout yako
  • Salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa

Kumbuka: Fahamu: Unaweza kuenda moja kwa moja kwenye historia yako ya bet kwa kubonyeza "Historia ya Bet" ili uone bets ulizoweka.

Ninaiweka vipi Multi Bet?
+

Sasa umejisajili na akaunti yako imetengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kwenye akaunti yako, kabla ya kuweka bet yako.

Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kutumia, unachohitaji kufanya ni kubonyeza kwenye mchezo unaokuvutia, yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tenisi, Kriketi, Raga, Mchezo wa Ndondi, Mpira wa Mikono na kadhalika, ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.

Ili kuweka multibet, bonyeza kwenye timu ambayo unatabiri itashinda, timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya michezo kuwa draw, bonyeza kwenye timu ya katikati ili uchague X (DRAW).

Kama ungependa kutabiri kwenye masoko ya ziada, bonyeza kwenye chaguo la masoko zaidi, ambalo huonyeshwa kama > (+24, +16, +12, +2, +8 na kadhalika); kando ya mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kuweka bet zilizopo.

Baada ya kuchagua tabiri zako, bet slip itajitokeza ikionyesha tabiri ulizochagua, odds za tabiri zako, kiasi cha kuweka bet, ushuru wa bidhaa, possible payout na pia ushuru wa zuio.

Fahamu ya kwamba unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye bet slip ili kudhibitisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Ikiwa unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza "ONDOA ZOTE".

Bonyeza "WEKA BET" ili kuweka bet.

Ujumbe wa kukuomba ku "THIBITISHA BET YAKO" utaonekana. Unaweza ku "FUTA" na kurudi nyuma kwenye bet slip yako, au kubonyeza "SAWA".

Baada ya kubonyeza "SAWA" ujumbe wa uthibitisho utatokea ukikuonyesha:

  • Aina ya bet uliyoweka- Multi bet
  • Bet ID yako
  • Kiasi ulichotumia kuweka bet yako
  • Ushuru wa bidhaa
  • Possible payout yako
  • Salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa

Fahamu: Unaweza kuenda moja kwa moja kwenye historia yako ya bet kwa kubonyeza "Historia ya Bet" ili uone bets ulizoweka.

Ninaiweka Mega Jackpot Pro bet vipi?
+

Ili kufanya mchanganyiko wa mara mbili, chagua matokeo mawili kwenye mechi moja.

Mfano 1;  Mechi ya kwanza hauna uhakika kama timu ya kwanza au ya pili itashinda, unaweza kuweka hizi bet mbili kupitia bet moja kwa kuchagua timu zote mbili kwa hiyo mechi.
Ikiwa ungependa kufanya mchanganyiko wa mara mbili kwenye mechi 3 za MJPpro, utakuwa umeweka bet 8 za MJP kwa jumla. yaani 2^3 (2*2*2=8 dau za MJP)

Ili kutengeneza mchanganyiko wa mara tatu, chagua matokeo 3 kwenye mechi moja. 

Mfano 2; ikiwa ungependa kufanya mchanganyiko wa mara tatu, kwa sababu hauna uhakika vile hiyo mechi itaenda, unachagua timu ya kwanza, draw na timu ya pili. Hii itakuwa ni bets tatu tofauti. 

Mchanganiko wa mara tatu kwenye mechi 3 za MJP pro, utakuwa umeweka bets 27 za kwa jumla. yaani 3^3 (3*3*3=27 dau za MJP)

Vikomo vya mchanganyiko:
• Mchanganyiko wa mara mbili ni hadi mechi 10 
• Mchanganyiko wa mara tatu ni hadi mechi 5
• Mchanganyiko wa mara mbili na mara tatu ni hadi mechi 10

Kuna kipengele cha kina kinachokusaidia kuchagua haraka MJP pro bet yako na hapa unaweza kuchagua kategoria yako ya bet na nambari za mchanganyiko kwenye kipengele hiki.

Mara tu unapofanya chaguo zako, Betslip itaonyesha chaguo zako wote na yafuatayo:
1. Nambari ya mechi uliochaguliwa.
2. Kategoria ya nambari ya Jackpot
3. Idadi ya mchanganyiko uliofanywa.
4. Kiasi cha bet.

Thibitisha Bet Yako kisha bonyeza weka bet na uithibitishe.

Bet yako ikishawekwa, ujumbe utaonyeshwa kwenye skrini yako ili kuthibitisha uwekaji wa bet yako ya Mega Jackpot pro.

Kumbuka:
Wewe ni mshindi wakati utabiri wako wote unalingana na matokeo ya mchezo kwa kategoria uliyocheza.
Mega Jackpot inapata kugawanywa sawa sawa kati ya washindi wote kwa kila Kategoria.

Bonasi zinatuzwa kwa tabiri sahihi kama ilivyo onyeshwa hapa chini: 

13/13 Mega jackpot Pro bet - 10, 11, 12,  tabiri sahihi.
14/14 Mega jackpot Pro bet - 10, 11, 12, 13,  tabiri sahihi.
15/15 Mega jackpot Pro bet - 10, 12,13, 14  tabiri sahihi.
16/16 Mega jackpot Pro bet - 11, 12, 13, 14, 15  tabiri sahihi.
17/17 Mega jackpot Pro bet - 12, 13, 14, 15, 16  tabiri sahihi.

Unaweza kuweka bets nyingi jinsi utakavyo kwenye Mega Jackpot, kila bet itagharimu KSHs 99.

Ninaiweka vipi Jackpot bet?
+

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bonyeza kwenye bango la Jackpot lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Ili kuweka Jackpot bet, bonyeza kwenye timu unayotabiri ishinde. Bonyeza kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya michezo kuwa draw, bonyeza kwenye timu ya katikati ili uchague X (DRAW).

Chagua utabiri wako wa michezo yote 13 ya Jackpot.

Bet slip itatokea ikiwa na utabiri wako.

Kwenye bet slip, utaweza pia kuona idadi ya mchanganyiko uliofanyika. Ikiwa hujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

Hatua ya 3

Bonyeza kwenye weka bet.

Hatua ya 4

Bonyeza 'Sawa' ili kuhakikisha au 'Futa' kukataa.

Ujumbe utatokea kwenye skrini yako kuthibitisha uwekaji wa bet yako ya Jackpot.

Fahamu ya kuwa: Utashinda iwapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo. Mega Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

Nitawezaje kuweka bet ya Jackpot yenye bashiri unganifu (double combinations)?
+

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bonyeza kwenye bango la Jackpot lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Bashiri unganifu (Double Combination) kwenye Jackpot bet inarahisisha kuweka Jackpot bets kadhaa mara moja badala ya kurudia mpangilio ule ule mara nyingi, ikiwa ungependa kuweka Mega Jackpot bet zaidi ya moja kupitia njia ya SMS.

Hii inakuruhusu kuweka bet ikiwa na tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, hadi mechi 7 kutoka kwa zile mechi 13 za jackpot zilizoorodheshwa, kwenye bet moja! Bonyeza kwenye zile tabiri mbili ulizotaka kuweka. Mfano, (1 na 2, au 1 na X, au 2 na X).

Kwa mfano, ukipenda kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 za JP, utakuwa umeweka MJP bets 8 kwa jumla. i.e 2^3 (2*2*2=8 JP bets).

Bet slip itajitokeza ikiwa na tabiri zako zote za michezo hizo 13 za Jackpot.

Kwenye bet slip, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Unaweza kuweka bashiri unganifu hadi mechi saba pekee.

Utaweza pia kuona kiasi cha jumla unachohitaji kuwekea kwa mchanganyiko wa idadi uliofanya. Kila JP bet itagharimu KSH 99.

Nitafuta bet yoyote vipi?
+

Baada ya kuweka bet kupitia Tovuti/App, Single/Multi/Jackpot  bet inaweza kufutwa kama ilivyoelezwa katika kifungu cha 5.2. 

Ili kufuta bet mtandaoni:
-Enda kwenye historia ya bet, 
-Chagua bet unayotaka kufuta 
-Bonyeza chaguo la kufuta bet

Rekodi ya muamala huu itaonyeshwa kwenye akaunti yako.

Fahamu ya kuwa:
-Unaweza kufuta bet kabla dakika kumi zipite baada ya kuiweka na kabla mechi yoyote kwenye bet yako ipate kuanza.
-Unaweza kufuta hadi bets tatu (3) kwa siku.
-Unaweza kufuta Single bet(s) na/au Multi bet(s) kupitia SMS, Tovuti, USSD, SP App ya Android au ya iOS. 
-Hata hivyo, unaweza tu kufuta bets za Jackpot na/au Mega Jackpot kupitia SMS au USSD.

Kutoa kwa njia ya tovuti

Nitawezaje kutoa pesa kutoka kwa akaunti yangu ya SportPesa?
+

Kutoa pesa ni rahisi kama kuweka pesa ndani ya akaunti yako. Tunatarajia utakuwa umefanikiwa katika utabiri wako na unataka kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti yako ya simu.

Bonyeza kwenye kiungo cha kutoa kwenye kidirisha cha juu, upande wa kulia, kwenye tovuti.

Akaunti yangu kwa njia ya tovuti

Nitaangalia vipi salio langu?
+

Hii inaonyeshwa kwenye kidirisha cha juu, upande wa kulia, kwenye tovuti.

Nitaweza vipi kuingia kwenye akaunti yangu ya Sportpesa?
+

Baada ya kujisajili, unaweza kupata akaunti yako ya SportPesa kwa kuingiza nambari yako ya simu kama JINA LA MTUMIAJI na NENO LA SIRI LA TOVUTI kama NENO LA SIRI.

Nitawezaje kuangalia muamala wangu(my transaction) kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Ukiingia kutumia jina la mtumiaji na neno la siri la akaunti yako, na ubonyeze kwenye "Miamala" utaona miamala yako yote. Unaweza kuchuja kutoka siku hadi siku.

Nitawezaje kuangalia bets zangu kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Ukiingia kwenye akaunti yako na ubonyeze "Historia ya Bet" utaona "Bet Amilifu /Zisizo Amilifu".

Betslip

Namba za Paybill

Nambari yako ya akaunti/kumbukumbu inapaswa kuwa nambari yako iliyosajiliwa.

  • 955100 au 5212121
  • 955100 au SPORTPESA

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.